ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Utageuka asubuhi haihami hiyo.Mke nimempa mgongo hapa,no hugs...nakula likes tuuuuu 😛 😛 😎 😎
kula likeNani kausikiliza wimbo mpya wa Saida Karoli - Orugambo.
Nahitaji maana ya hilo neno
kula likeAisee nimependa speed yenu kama dege la obamaaaa
HuhuuuNapendaga malikes, nyomi, attention. Km msanii (UKHUTY)
yaani usiulize kuhusu hilomnatoa likes??
Hahahaha
Niko njiani narudi... Songa ugali dagaa, usisahau kupitia mtindi pale kwa Mangi... Karanga zako nimekubebea![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiiiiii
AsanteUmechelewa sana mkuu ila karibu
nipe moja nikalaleNamiona mmechoka
Mkono unawasha sana umemiss kufyatua mguu wa Kuku..Kweli ulinzi kila kona.
Hahah looh hilo daku itakuwaNiko njiani narudi... Songa ugali dagaa, usisahau kupitia mtindi pale kwa Mangi... Karanga zako nimekubebea!
Zile korosho jikoni bado zipo?? Mihigo mibichi asubuhi niliona bado ipo mingi tu...
I miss you [emoji7] [emoji8]