Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] enjoy the day
 
Mashindano ya mpira wa miguu ya VPL yamefikia theluthi baada ya timu kucheza michezo kati ya 10 na 11 na hadi kufikia idadi hiyo ya mechi timu za Simba na Azam zote zimefikisha pointi 22 (kabla ya mechi ya jana) huku wakifuatiwa kwa karibu na Yanga wenye pointi 21 na Singida United (20) na Mtibwa Sugar yenye pointi 17. Timu inayoshika nafasi ya mwisho (16) ni Stand United yenye pointi sita.
 
Huu ni muda mwafaka kwa makocha wa timu zote kujitathimini na kufanya maamuzi juu ya nini kifanyike. Kwa bahati nzuri muda wa usajili wa dirisha dogo ndio umewadia. Ukiaangalia kwa umakini taarifa muhimu za jedwali la msimamo wa VPL utagundua yafuatayo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…