Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe utapita hapo? Tena na mvua imenyesha kidogo?...

[emoji116][emoji116][emoji116]Hapa penyewe napandaga tu kwa vile hakuna namna. Majini sipapendi pia...Usafiri kwa kweli ni shida !!!
Kama ndo njia ya kwenda kwetu nafanyaje sasa[emoji15][emoji15][emoji15]

Ila hapana panatisha ujue,kitonga tu pale huwa nasali sala zote sembuse sehemu kama hiyo.
Maeneo kama hayo ni kuomba Mungu tu mpite salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…