Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna biashara ya utumwa imepamba moto huko Libya. Dola 400 tu unapata mtumwa mweusi. Wanakwenda Libya kwa nia ya kupata nafasi ya kuchepuka kwenda Ulaya, kumbe wanaishia katika soko la utumwa linaloendeshwa na Walibya. Waafrika wanawauza Waafrika wenzao. Patamu hapo eeeh!?Aliwapeleka wapi?
Kuna biashara ya utumwa imepamba moto huko Libya. Dola 400 tu unapata mtumwa mweusi. Wanakwenda Libya kwa nia ya kupata nafasi ya kuchepuka kwenda Ulaya, kumbe wanaishia katika soko la utumwa linaloendeshwa na Walibya. Waafrika wanawauza Waafrika wenzao. Patamu hapo eeeh!?
[emoji117][emoji117][emoji117]Eto ameenda huko na "kuwanunua" watumwa wote wa kutoka Cameroon na kuwarudisha nyumbani. Mzalendo halisi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Yeah! Tuna tatizo la msingi sana. Haiwezekani popote duniani tuwe na matatizo yanayofanana fanana. Hata wanaotumia laana ya kwenye Biblia kuelezea masaibu yetu mi nilishachoka kuwabishia. Inahuzunisha sana !!!Hahaa, nacheka kama mazuri vile! Waafrika nadhani Mungu alituumba siku ya sita, tena dakika za mwisho kabla ya siku kuisha! Kila janga ni la kwetu tu, yaani popote pale tulipo; Africa au Western Hemisphere, very sad!