Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kumekucha salama?walikata na leo?
Kumekucha salama shemeji. Vipi huko? Walikata ndiyo japo waliurudisha kwa masaa kama matatu hivi. Lazima vikao vya ukoo vikae soon. Ajenda na posho za wazee vipo tayari. Yes, Tumshukuru Mungu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kumekucha salama?walikata na leo?
Tumshukuru Mungu[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu mzee mugabe anatusababishia matatizo wengine kununua vitz au iPhone tunakuwa wagumu sasa yeye kiherehere chake kataka kuhonga nchi nzima kwa baby wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee*Wiki nne zimesalia kabla ya kufika X-mass utaona wanawake wote wana adabu*
Hata mumewe akienda chooni akitoka utasikia "Honey safari yako ilikuajee?''
Mna visa nyinyi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku kwema tunashukuru Mungu...Kumekucha salama shemeji. Vipi huko? Walikata ndiyo japo waliurudisha kwa masaa kama matatu hivi. Lazima vikao vya ukoo vikae soon. Ajenda na posho za wazee vipo tayari. Yes, Tumshukuru Mungu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi mzima kabisa naona xmass inakaribia shamrashamra tuSalama kabisa mzee wa $$$,nije kukusaidia kuhesabu?[emoji38][emoji38]
Mzima wewe?karibu tena
Ka mwaka kashaisha haka....Mimi mzima kabisa naona xmass inakaribia shamrashamra tu