Salaam TanzaniaGood morning TANZANIA
Salaam wana uziGood morning Wanalikes
Tumeamka salama, tumeshinda vemaHope wote mmeamka salama
Nyufa + gharama ya ujenzi= vipimo vya mkojo.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dar es Salaam. Nyufa zilizoonekana katika mabweni mapya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zimezua mjadala na kuingiza wanafunzi hofu kwa kuwa majengo ni mapya na yamejengwa kwa gharama kubwa.
Mabweni hayo yanayotumiwa na wavulana katika jengo la Block A yana nyufa sehemu mbalimbali kuanzia chini hadi ghorofa ya tatu.
Hapana mkuu, magari makubwa napenda kuyaona tu. Mi bana vile vimbau mbau[emoji3] [emoji3]
Waungwana wa uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakware wa Uzi huu..
Salaam mkuu. Kupotea kwako ni kupotea kwa post, likes, burudani na vifijo vya Uzi huu. Karibu mkuuWAKUU WAKUU NAWASALIMU NINYI NI WAKUU SANA MIMI COLE WILLIAMS NI MZIMA NATUMAINI NANYI NI WAZIMU
TUDUMU HUMU KIDUMU CHAMA HIKI CHA LIKES
NIPO BADO NIPO.
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]