Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama kawaida yangu nawakumbusha tena. Lengo siyo kukimbiza uzi. Lengo ni likes. Hakuna point eti uzi unakimbia wakati watu hamtoi likes. Huku nyuma 10 minutes ago na kuendelea kuja huko mbele posts nyingi zina like moja au mbili. Hii haikubaliki. Please TOA LIKES UPOKEE LIKES. Tusijisahau !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…