Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndege ya Marekani ya B-1B bomber yaionyesha ubabe Korea Kaskazini
Jeshi la Marekani limerusha ndege yake aina ya B-1B bomber katika anga ya Korea Kusini kama sehemu ya mazoezi ya pamoja ya angani katika hatua inayoonekana kama onyo kwa Korea Kaskazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…