myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
MAVAZI HAYO
safi kabisaSijambo jirani,za wewe
Andjul amka baba,bi mdashi kaonekana leo...Tulikuwa busy na expansion joint, baada ya wataalam kutuambia ni jambo la kawaida sasa nimeamua kurudi nyumbani
Mpana km pazia la sinema, aliekuambia huwa hatuonani ni nani? Au we unadhani kuna sehem moja tu ya kuonania?Andjul amka baba,bi mdashi kaonekana leo...
Huyu anavunja kitanda aiseehehehe...
Hee[emoji134][emoji134]Mpana km pazia la sinema, aliekuambia huwa hatuonani ni nani? Au we unadhani kuna sehem moja tu ya kuonania?
Hahahahaha tena ukizubaa ntakuongezea na jingine.Hee[emoji134][emoji134]
Povu lote hili langu[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikalowekee nguo mie[emoji124] [emoji124]