Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WASOMI huiita ‘thermos’. Watu wa kawaida huiita chupa ya chai.
Ni chupa maalumu ambayo hutumiwa kuwekea vitu vya joto, hususan chai na ikabakia ya moto kwa masaa kadhaa kabla haijapoteza joto na kuwa ya baridi.
 
Iliitwa “vacuum flask” kwa vile eneo linalozitenganisha huwa limenyonywa hewa yote na kubakia halina kitu, hiyo ndiyo maana ya neno ‘vacuum’, yaani sehemu iliyo ‘tupu’ au au ‘sehemu isiyokuwa na hewa’.Fahamu kwamba hewa ndiyo kitu kikubwa katika kupoza au kuhifadhi joto au baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…