Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WASOMI huiita ‘thermos’. Watu wa kawaida huiita chupa ya chai.
Ni chupa maalumu ambayo hutumiwa kuwekea vitu vya joto, hususan chai na ikabakia ya moto kwa masaa kadhaa kabla haijapoteza joto na kuwa ya baridi.
Tulifundishwa form 4 kwenye Fizikia. Ni baadhi ya topiki chache za Fizikia ambazo nilizielewa vizuri sana...Semosiiii...
 
yai bovu yai bovu.... linanuka linanuka...

huu wimbo una swaga nyingi hahaha
Linanukaje Linanukaje. ...
Fwiii Fwiii kabwelaaaa

Nina ndoo yangu eeeh
Ya kuchoka maji eeeh
Maji ya dhahabu eeeh
Ya kuoga baba eeeh
Pamoja na mama eeeh

Watoto msitizame nyuma.... Yai bovu linapotaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…