Akina mama walioibuka na kuweka wazi kuwa waliguswa makalio, matiti; kubusiwa mashavuni na midomoni kwa nguvu na wanaume wakware miaka 10, 20, 30 na hata 40 iliyopita wametangazwa kuwa ndiyo washindi wa tuzo ya mwaka huu ya "Person of the Year" inayoendeshwa na gazeti mashuhuri la Time. Kama ulimgusa mwanamke matiti bila mwenyewe kuridhia mkiwa high school huko na leo hii una ka cheo fulani basi hakuna namna. Akikutaja tu basi ama unajitumbua au unatumbuliwa...
Manchester United wamemsalimisha mchezaji Juan Mata , 29, kwa Inter Milan kama makubaliano ya kumleta mchezaji wa safu ya kati Joao Mario, 24. (Corriere dello Sport - in Italian)
Mashabiki wa Bayern Munich walichapisha pesa bandia za noti ya euro 500 zenye picha ya Neymar na kumrushia mchezaji huyo mbrazil wakayt wa ushindi wao dhidi ya Paris St-Germain.
Mwanamke ambaye alichukuliwa kutoka kwa mama yake baada ya kuzaliwa nchini Argentina, ameunganishwa na familia yake na kundi linalofahamika kama Grandmothers of the Plaza de Mayo.
Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari, Adriana alisema kuwa wakati watu waliokuwa wamemlea walikufa, aliambiwa na mtu mwingine kuwa yeye hakuwa mtoto wao wa kuzaliwa.
Alifanyiwa uchunguzi wa DNA na baada ya miezi minne hakupata DNA iliyolingana na yake, kutoka kwa ile inayohifadhiwa na Grandmothers ya watu walitoweka au kuuliwa na utawala wa kijeshi.