Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamata likeI really really love this
HiyoNipen tu bila kuchoka
Mzae watoto mapacha
Nomaaa sana hiyookuna jamaa asubuhi alikuwa ana likes 5 afu ni new member ila saiv naona ana likes 2000 afu eti ni expert member...aseee jamaa hajalipa kodi kaiba likes humuuu.kamati itaundwa kumchunguzaaaa hahaha
Hapa ukimbie wewe tu likelikes
Karibu tena.....Nienda kupata CHAJIO kidogo nimerudi kutoa like kiroho safiiiiiii
Hata mods wanakaribishwa tutawapa likes piaaaMods wakiamka kesho wanakuta mtu aliekuwa na like 20 kafika 80k.
Watajua system imehakiwa
ok kula likeyaani usiulize kuhusu hilo
Hakuna nenongoja nipate breki kidogo
jaza ujazwe
Hahahaha kwa kweliHapa ukimbie wewe tu like
Naleo nimezikusanyaMods wakiamka kesho wanakuta mtu aliekuwa na like 20 kafika 80k.
Watajua system imehakiwa