Well saidTumeshawapita wale wanaojiita "wa mwisho ndo mshindi" wao wapo 46k siye tupo 52k....Tujitahd tuwapite na makapuku forum
Wifey material...
Day! Hatariiii
Chukua like, sema nini..ningekupa hata like 100 shida nkibonya kitufe cha like mara mbili nakuwa nimekopokonya...That's our rules mwambie
...Na pembeni hapo kuwe na li-Hummer tena lile toleo la kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii roho mbaya sasa [emoji23][emoji23][emoji23]