Nyota wa tennis Serena Williams adai kuwa anasumbuliwa sana na mtoto. Anasema kuwa mtoto huyo msichana, Alexis Olympia, wa umri wa miezi mitatu unusu amekuwa akilia anapomea meno.
Anasema alilazimika kumshika mikononi mwake hadi wakati alilala, baada njia zote alizojaribu kutumia kumtuliza kushindikana.