mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pata like like na dawaAm back tunaendelea
Hahahha wanajua show kila mda
Nashukuru uwepo kasi kidogo inahitajikaPoa poa mzee wa liver
Tunaenda sawaPamoja mkuu
Mwili rangi tatu kama daladala
Pokea naweChukua like, sema nini..ningekupa hata like 100 shida nkibonya kitufe cha like mara mbili nakuwa nimekopokonya...
Cocochanel big up sana
Tupo tuende wapiMpo?
Mama mkwe katika peak
HahahaaKuna kimtu nakiona kwa mbaaali kina macho kama vile vitaa vinavyopatikana kwenye viatu vya watoto...
Fesibuku hizi
Numbisa leo naona upo kwenye ubora wako