Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

,Mkazi wa Manzese Kinondoni jijini Dar esSalaam Kelvin Vicent(35),alisema kuwa yeye katika ukubwa wake wote hakuwai kujua kama ugonjwa wa mafindofindo unatibika kitaalamu.
 
,Mkazi wa Manzese Kinondoni jijini Dar esSalaam Kelvin Vicent(35),alisema kuwa yeye katika ukubwa wake wote hakuwai kujua kama ugonjwa wa mafindofindo unatibika kitaalamu.
 
Daktari anayehusika na magonjwa ya koo katika Hospitali ya Muhimbili Theresia Uisso alisema kuwa ugonjwa wa mafindofindo unaweza kutibika kitaalamu tofauti na watu walio wengi kusema unaibika kwa kutumia chumvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…