Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kufyatua fataki siku ya mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya hivyo wananchi wametakiwa kukusanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers vilivyopo Kawe ndipo wataruhusiwa kufyatua milipuko hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…