Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maumivu chini ya mbavu kulia yanaweza kusababishwa na
• Mawe kwenye mfuko wa nyongo
• Maambukizi kwenye mfuko wa nyongo (cholecystitis)
• Uvimbe wa ini
• Jipu kwenye ini
• Homa ya ini
• Saratani ya kongosho na kifuko cha nyongo.
 
Maumivu chini ya mbavu kulia yanaweza kusababishwa na
• Mawe kwenye mfuko wa nyongo
• Maambukizi kwenye mfuko wa nyongo (cholecystitis)
• Uvimbe wa ini
• Jipu kwenye ini
• Homa ya ini
• Saratani ya kongosho na kifuko cha nyongo.
 
Maumivu chini ya kitovu
• Maambukizi ya mfumo wa mkojo
• Magonjwa ya zinaa kama klamidia, PID
• Vivimbe vya mji wa uzazi
• Mimba kuharibika
• Saratani ya kibofu cha mkojo
• Premenstrual Syndrome – PMS
 
Sababu nyingine za maumivu ya tumbo ni;
• Irritable bowel syndrome
• Utumbo kujiziba (intestinal obstruction)
• Utumbo kujisokota (volvulus)
• Food poisoning
• Allergy ya chakula
• Ugonjwa wa Crohn (Crohn’s disease)
• Ngiri (hernia)
• Homa ya tumbo (typhoid fever)
 
Sababu nyingine za maumivu ya tumbo ni;
• Irritable bowel syndrome
• Utumbo kujiziba (intestinal obstruction)
• Utumbo kujisokota (volvulus)
• Food poisoning
• Allergy ya chakula
• Ugonjwa wa Crohn (Crohn’s disease)
• Ngiri (hernia)
• Homa ya tumbo (typhoid fever)
 
Kama unapta maumivu makali sana ya tumbo, yanajirudia au yanambatana na dalili zozote kati ya zifuatazo basi onana na daktari mapema iwezekanavyo.
• Homa
• Kutapika matapishi yenye damu
• Kutapika sana
• Kukosa choo hasa ikiambatana na kutapika
• Tumbo kuvimba
• Kama umeumia
 
Matibabu
Maumivu ya tumbo hutibiwa kutokana na sababu ya maumivu. Wakati ukielekea hospitali kwa ajili ya matibabu unaweza kutumia dawa za kutuliza maumivu kama paracetamol au diclofenac.
 
Maumivu chini ya mbavu kulia yanaweza kusababishwa na mawe kwenye mfuko wa nyongo, maambukizi kwenye mfuko wa nyongo Cholecystitis, uvimbe wa ini, jipu kwenye ini, saratani ya kongosho na kifuko cha nyongo.
 
Maumivu chini ya chembe ya moyo husababishwa na vidonda vya tumbo, kiungulia, saratani ya tumbo na saratani ya kongosho.
Maumivu pembeni mwa kitovu husababishwa na mawe ya figo Kidney Stones, maambukizi ya figo, Pyelonephritis na maambukizi kidoletumbo Acute Appendicitis
Maumivu chini ya kitovu huweza kusababishwa na maambukizi ya mfumo wa mkojo, magonjwa ya zinaa kama klamidia, PID, vivimbe vya mji wa uzazi, mimba kuharibika na saratani ya kibofu cha mkojo.
 
Sababu nyingine za maumivu ya tumbo ni utumbo kujiziba Intestinal Obstruction, utumbo kujisokota Volvulus, kula sumu na mzio wa chakula fulani au ugonjwa wa Crohn Crohn’s Disease, Ngiri Hernia au homa ya tumbo Typhoid Fever.
 
Kama unapata maumivu makali sana ya tumbo, yanajirudia au yanaambatana na dalili zozote kati ya zifuatazo basi onana na daktari mapema iwezekanavyo hasa kama una homa, kutapika matapishi yenye damu au kutapika sana, kukosa choo hasa ikiambatana na kutapika, tumbo kuvimba na kuumia.
 
Matibabu
Wakati ukielekea hospitali kwa ajili ya matibabu unaweza kutumia dawa za kutuliza maumivu kama Paracetamol au Diclofenac. Ukifika daktari atakufanyia vipimo kisha kukupa dawa.
 
Siku moja baada ya kueleza kuwa mwili wake bado una risasi moja licha ya kutolewa nyingine 15, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema risasi hiyo ipo juu ya kiuno chini ya mfupa wa mgongo na kwamba ameelezwa na madaktari kuwa haiwezi kumletea shida yoyote.
 
Ipo kwenye tishu sio kwenye mfupa wa mgongo. Hapo ilipo haina madhara yoyote. Kuiondoa kunahitaji ‘complicated operation’ ambayo ni ya hatari zaidi,” alisema Mwanasheria huyo mkuu wa Chadema alipozungumza na mwandishi wetu kwa simu jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…