Aiseee inasikitishaView attachment 657505
Wakuu hiyo ajali imetokea mapema leo maeneo ya ubena zamozi nimeshuhudia kwa macho yangu jinsi gani binadamu tunavyoweza kuondoka mara moja hapa duniani .
Tuishi vyema angali maisha tunayo wakuu
Sana numbisa yaani watu watano papo hapo wanawake watatu mtoto mdogo mmoja na derevaAiseee inasikitisha
Maisha haya tunatembea na roho mkonon na nipo safarin dah naombea nifike haraka ili niwe huru na hofu hii. Wapumzike kwa amani.Sana numbisa yaani watu watano papo hapo wanawake watatu mtoto mdogo mmoja na dereva
Hahahhaha yego banaThank you! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Hahahhaha yego bana
Salaam mkuu konge