Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti zinaonesha kwamba zaidi ya asilimia 85% ya watu wenye tatizo hili chanzo chake ni kinywa chenyewe na 15% ni vyanzo vingine.
Pia hueleza kuwa harufu hii hutofautiana kwa muda yaani asubuhi mchana na usiku.
 
Kuwepo kwa bacteria katika jino lililotoboka na hivyo hupelekea kutoa harufu. Pia inasemekana kuwepo na zaidi ya aina nyingi zaidi ya bacteria katika kinywa wanaopatikana katika ulimi,fizi, na kuzunguka meno.
.Kulala mdomo wazi hali ambayo hupelekea tabaka la juu la mdomo kuoza na hupelekea mdomo kutoa harufu mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…