App kwangu ndo rahisi kuliko browser...Duuh wengi wanatumia application humu,kila kona application hadi nataman ila browser kwangu ndo nzuri.
Shukran too my dear
Even if you're single you can still fight terrible fights with yourself everyday...
Hapa TZ mbona kila kitu ni mashindano, usicheze na hawa watu!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Nawaona nawaona wakuu... Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwema shemeji kipenzi habari ya jumapiliEven if you're single you can still fight terrible fights with yourself everyday...
Kwema shemeji kipenzi?
Usiwe na haraka ubuyu wote utaupata humuHv mapicha picha ya birthday kule kwa madiba bado hayajaanza, leo sina bando la kuingia insta
Ngoja nichaji simu mapema kbs.Usiwe na haraka ubuyu wote utaupata humu
Kwema kabisa za weweNgoja nichaji simu mapema kbs.
Vipi kwema lkn?
Shemeji kipenzi????Kwema shemeji kipenzi habari ya jumapili
Nzuri tuKwema kabisa za wewe
Hujui kama jakitoo yuko fungate na kakayako?Shemeji kipenzi????
Jakito awe makini hapa.
MhHujui kama jakitoo yuko fungate na kakayako?
Me nyuki wa maahine ujue?halafu sisi hatulagi....