myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HahahahahNaona mapicha picha yameanza, shoga yangu na kutamba kote kule kwamba ndio mke ila nae anayaonea mapicha picha insta tu. Bwana kaacha mke hahahhaha ujinga ni kujisema umeolewa halafu bwana hana time na ww.
HahahahaHahahahahView attachment 658201
Mtaa wa pili kuna amani kweli hahaha nacheka kisukuma mie.HahahahahView attachment 658201
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weweeJakitoo jamani huwa anaonekana humu? Namtafuta bila mafanikio. Kama zizi lilipinduliwa wakati sipo naomba nijulishwe. Ka Yego kalifanikiwa ama?
Mtaa wa pili kuna amani kweli hahaha nacheka kisukuma mie.
Hahahah ngoja niku screen shotie hilo chekoCheko ya kisukuma ikoje Nsamaka?
Hahahah ngoja niku screen shotie hilo cheko