Huyu najua aliko [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Jakitoo umepotea
Kweli tupu kamanda wa pwani !!!SHIMBA WA BUYENZE naye hachezi mbali na hapa
Nakuona mkuu. Lakini cha kushangaza sioni ushiriki wako huko kwenye mihemuko na povu, unatembelea wapi mkuu?Kweli tupu kamanda wa pwani !!!
[emoji106][emoji106][emoji106]Na marafiki wengi leo wapo hapa. Safi sana