Ufafanuziu Wake:
Wanyama ni viumbe ambao MwenyeziMungu amewajaalia kuwa na hisia kubwa kushinda binadamu. Wanyama kama Mbwa, Paka, Fisi na ndege kama vile Bundi, au Tai ni wanyama ambao wanauwezo wa kunusa harufu ya mtu au kiumbe ambacho kinakaribia kufa, kwao inawajia kama harufu ya mzoga.