Ile kanda iliyopata watalii wa ndani waliofurika darajani?[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni ile kanda pendwa mkuu. Nadhani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Msambwanda hata mbuzi anao[emoji3] [emoji3] [emoji3]Siyo msambwanda? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Chura aseeeSiyo msambwanda? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ahsante kwa taarifa NumbisaWanaendelea vizuri tunamshukuru Mungu, tayari daktari bingwa wa moyo anaendelea kuwapa matibabu,” amesema Dk Mwakalebela.
Maria na Consolata walijiunga na Rucu mwaka huu baada ya kuhitimu kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Udzungwa wilayani Kilolo mkoani Iringa.
Wanalelewa chini ya uangalizi wa Serikali ya Mkoa wa Iringa na Rucu kwa sasa. Awali, walikuwa chini ya masista wa Shirika la Maria Consolata lililowalea na kuwasomesha tangu wakiwa wadogo.