Tatizo ili sio la kuogopa ila huleta shida pale zinapomsababishia mtu kukosa usingizi, kushutuka usingizini usiku, kutokwa jasho na kuogopa kwenda kulala.
Aina ya vyakula, kula sana na vyakula vyenye viungo na mafuta mengi kabla ya kulala huingilia utendaji wa kazi wa mwili na ubongo na kusababisha ndoto mbaya usiku.