Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pombe na sigara, unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara kupita kiasi kabla ya kulala usababisha kuota ndoto mbaya na kuamka katikati ya usingizi.
 
Kuumia, hii hutokea mara nyingi kwa watu waliopata ajali zinazohusisha viungo muhimu na ubongo.
 
Madawa, hasa matumizi ya dawa za presha, mawazo, kuacha kuvuta sigara, kifafa na ganzi kwa muda mrefu.
 
Magonjwa, kama homa kali, mafua makali, magonjwa sugu na magonjwa yote yanayoweza kuzuia usingizi na akili kufanya kazi vizuri.
 
Pumzisha mwili na akili kabla ya kula na unaweza kupumua kwa kina, kufanya masaji, kuoga maji ya uvuguvugu na kuongea au kulala na rafiki, mashuka au nguo unazopenda.
 
Dalili za vidonda vya tumbo ni pamoja na maumivu makali au kiungulia maeneo ya chembe moyo (epigastic pains): Maumivu juu kidogo ya tumbo mara nyingi huendana na muda wa kula chakula.
 
Mtu mwenye vidonda kwenye tumbo (gastric ulcers) hupata maumivu makali sana kipindi anapokula au mara tu baada ya kumaliza kula wakati aliye na vidonda kwenye sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenal ulcers) hupata maumivu makali anapokuwa na njaa na hupata nafuu pindi anapokula. Dalili nyingine ni pamoja na:-
 
Kuvimbiwa au tumbo kujaa gesi. Hali hii pia yaweza kuendana na kubeua au kujamba mara kwa mara.
Kucheua na kuongezeka kwa mate yanayoshuka tumboni baada ya kucheua.
 
Kupata haja kubwa cha rangi nyeusi au kahawia chenye harufu mbaya sana. Hii humaanisha mgonjwa anapata haja kubwa au choo kilichochanganyika na damu kwa mbali
 
Uwepo wa dalili kama kiungulia cha muda mrefu, kucheua na kutapika baada ya kula na historia ya kutumia dawa za kupunguza maumivu (NSAIDs) kwa muda muda mrefu
 
bila kufuata ushauri wa daktari ni ishara tosha ya kumfanya mgonjwa kumuona daktari kumpima na kumfanyia uchunguzi ili kujiridhisha kuwa hana tatizo la vidonda vya tumbo.
 
View attachment 664909
carbamazepine, wakati tunausubiri mwaka mpya embu anza na hii kwanza! [emoji1][emoji1]
Asante bhana[emoji120][emoji120][emoji120]ila ungeleta chupa nzima ingependeza zaidi[emoji6][emoji6]

Kwema?uwe na mwaka wenye furaha na kheri nyingi[emoji112][emoji112][emoji112]ngoja niwahi kulala
 
bila kufuata ushauri wa daktari ni ishara tosha ya kumfanya mgonjwa kumuona daktari kumpima na kumfanyia uchunguzi ili kujiridhisha kuwa hana tatizo la vidonda vya tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…