Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante bhana[emoji120][emoji120][emoji120]ila ungeleta chupa nzima ingependeza zaidi[emoji6][emoji6]

Kwema?uwe na mwaka wenye furaha na kheri nyingi[emoji112][emoji112][emoji112]ngoja niwahi kulala

Na wewe pia, heri ya mwaka mpya! Chupa mzima mpaka ije ifike 00:00 utakuwa ishaaanza kuongea Ile; you know nyingi![emoji23][emoji23]
 
Nawatakia nyote kila la heri na baraka katika mwaka mpya wa 2018. Nawatakia afya njema, furaha tele, maisha marefu, mafanikio makubwa katika maisha yenu na upendo wa hali ya juu katika mwaka mpya na miaka yote iliyo mbele yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…