Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,601 Unapoamka asubuhi, safisha uso wako kwa maji ya uvuguvugu na utumie sabuni uliyoshauriwa na mtaalamu au unayotumia kuoshea uso wako mara kwa mara.
Unapoamka asubuhi, safisha uso wako kwa maji ya uvuguvugu na utumie sabuni uliyoshauriwa na mtaalamu au unayotumia kuoshea uso wako mara kwa mara.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,602 Pia epuka kutumia sabuni ya kipande, kwani hijatengenezwa maalumu kwa ajili ya uso na huweza kufanya ngozi ya uso kukomaa na kupauka.
Pia epuka kutumia sabuni ya kipande, kwani hijatengenezwa maalumu kwa ajili ya uso na huweza kufanya ngozi ya uso kukomaa na kupauka.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,603 Ni kawaida ngozi ya uso kuonekana iliyochoka hasa inapofika jioni, baada ya mizunguko ya kutwa nzima,
Ni kawaida ngozi ya uso kuonekana iliyochoka hasa inapofika jioni, baada ya mizunguko ya kutwa nzima,
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 3, 2018 #534,604 Amani na upendo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,605 hivyo basi ili kuhakikisha unakuwa na ngozi ya uso iliyochangamka wakati wote kwa kuiosha, lakini unatakiwa kuwa makini zaidi katika hili.
hivyo basi ili kuhakikisha unakuwa na ngozi ya uso iliyochangamka wakati wote kwa kuiosha, lakini unatakiwa kuwa makini zaidi katika hili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,606 Hakikisha unaosha uso wako vizuri wakati unaoga au wakati unanawa bafuni au popote panapofaa baada ya mizunguko yako ya kutwa.
Hakikisha unaosha uso wako vizuri wakati unaoga au wakati unanawa bafuni au popote panapofaa baada ya mizunguko yako ya kutwa.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 3, 2018 #534,607 Haki na usawa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,608 Tumia kitambaa au kitu laini kusafisha uso wako kwani husaidia kuondoa uchafu ulioganda usoni
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 3, 2018 #534,609 Ubinadamu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,610 Zoezi hili linatakiwa kufanywa kwa uangalifu ili kuhakikisha hauchubui wala kujiumiza ngozi,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,611 hakikisha ngozi yako haiwi na magamba ya aina yoyote kwani lengo la kutunza ngozi ni iwe na unyevunyevu na ya kuvutia.
hakikisha ngozi yako haiwi na magamba ya aina yoyote kwani lengo la kutunza ngozi ni iwe na unyevunyevu na ya kuvutia.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,612 Unaweza kutumia ‘tona’ kusafisha uso wako kwani husaidia kuondoa uchafu ulioganda.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,613 Jambo kubwa la kuzingatia ni kuhakikisha haulali na vipodozi ulivyopaka asubuhi au mchana,
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 3, 2018 #534,614 Kila jambo na wakati
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,615 kwani husababisha ngozi yako kukosa hewa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,616 Kwa matokeo mazuri ya afya ya ngozi ya uso wako, zingatia usafi, kunywa maji mengi na kula mboga za majani na matunda kwa wingi.
Kwa matokeo mazuri ya afya ya ngozi ya uso wako, zingatia usafi, kunywa maji mengi na kula mboga za majani na matunda kwa wingi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,617 Afya ni uhai, utakapo jali afya yako basi unaongeza siku za kuishi hapa duniani.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,618 Ni muhimu sana kuzingatia lishe kama unataka kuwa na afya bora
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,619 Ni muhimu sana kuzingatia lishe kama unataka kuwa na afya bora
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 3, 2018 #534,620 Kama kuna jambo kubwa ambalo huwa linasababisha kuhariu afya zetu basi ni mazoe mabaya ya mambo tunayofanya mara tu baada ya kupata chakula.
Kama kuna jambo kubwa ambalo huwa linasababisha kuhariu afya zetu basi ni mazoe mabaya ya mambo tunayofanya mara tu baada ya kupata chakula.