Mtanzania anayeishi England, Jasmin Razak ambaye anamsaidia mchezaji wa zamani wa Arsenal na timu ya Taifa ya Ivory Coast, Emmanuel Eboue amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Jumatano kuhusu tatizo la mchezaji huyo kunyang'anywa mali zake na mkewe.