Mtwara. Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Sebastian Waryoba amesema agizo lake la kuwakamata wazazi na wanafunzi 55 wa sekondari waliopata ujauzito hata kama walishaacha shule miaka miwili iliyopita, limeanza kutekelezwa na mpaka sasa amekamatwa mtu mmoja.