Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Jan 6, 2018 #536,641
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,642 Kampuni moja ambayo hutengeneza bidhaa za bangi imenunua mji mmoja katika jimbo la California kwa lengo la kuugeuza kuwa "kituo" cha bangi.
Kampuni moja ambayo hutengeneza bidhaa za bangi imenunua mji mmoja katika jimbo la California kwa lengo la kuugeuza kuwa "kituo" cha bangi.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jan 6, 2018 #536,643 Likes
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,644 Yegomasika said: Asante dada, Numbisa! Na wewe uwe na mchana/usiku mwema popote ulipo! [emoji1] Click to expand... Huku ni usiku saa tano na dakika42
Yegomasika said: Asante dada, Numbisa! Na wewe uwe na mchana/usiku mwema popote ulipo! [emoji1] Click to expand... Huku ni usiku saa tano na dakika42
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,645 Kampuni hiyo ya American Green imekubali kuununua mji wa Nipton kwa $5m (£3.8m).
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,646 American Green wanapanga kuzalisha nishati mbadala ambayo itakuwa ikitumiwa katika mji huo, bila kuchafua mazingira.
American Green wanapanga kuzalisha nishati mbadala ambayo itakuwa ikitumiwa katika mji huo, bila kuchafua mazingira.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,647 American Green wanapanga kuzalisha nishati mbadala ambayo itakuwa ikitumiwa katika mji huo, bila kuchafua mazingira.
American Green wanapanga kuzalisha nishati mbadala ambayo itakuwa ikitumiwa katika mji huo, bila kuchafua mazingira.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,648 Mji wa Nipton, California unapatikana karibu na mpaka wa jimbo hilo la Nevada
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Jan 6, 2018 #536,649
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,650 Tuna furaha isiyo na kifani kwamba sasa tunadhibiti eneo halisi la 'kijani'," rais wa American Green David Gwyther amesema kupitia taarifa kwa gazeti la Time.
Tuna furaha isiyo na kifani kwamba sasa tunadhibiti eneo halisi la 'kijani'," rais wa American Green David Gwyther amesema kupitia taarifa kwa gazeti la Time.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Jan 6, 2018 #536,651
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,652 Mapinduzi ya bangi ambayo yanaendelea kwa sasa hapa Marekani yana nguvu za kubadili kabisa jamii sawa na jinsi dhahabu ilifanya katika karne ya 19."
Mapinduzi ya bangi ambayo yanaendelea kwa sasa hapa Marekani yana nguvu za kubadili kabisa jamii sawa na jinsi dhahabu ilifanya katika karne ya 19."
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Jan 6, 2018 #536,653
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,654 Mji wa Nipton ulianzishwa wakati wa pilka pilka za kutafuta dhahabu karne ya 20 dhahabu ilipokuwa inapatikana katika mgodi karibu na hapo.
Mji wa Nipton ulianzishwa wakati wa pilka pilka za kutafuta dhahabu karne ya 20 dhahabu ilipokuwa inapatikana katika mgodi karibu na hapo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jan 6, 2018 #536,655 Mji huo, ambao wakazi wake wa sasa ni 20 hivi, unapatikana katika mpaka wa Hifadhi ya Taifa ya Mojave.
Mji huo, ambao wakazi wake wa sasa ni 20 hivi, unapatikana katika mpaka wa Hifadhi ya Taifa ya Mojave.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Jan 6, 2018 #536,656
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Jan 6, 2018 #536,657
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Jan 6, 2018 #536,658
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Jan 6, 2018 #536,659
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,278 Jan 6, 2018 #536,660 Numbisa said: Huku ni usiku saa tano na dakika42 Click to expand... Sijui ni kwa nini sijawahi kushawishika kuwa uko kwenye majira ya saa uliyosema hapo juu! [emoji23][emoji23]
Numbisa said: Huku ni usiku saa tano na dakika42 Click to expand... Sijui ni kwa nini sijawahi kushawishika kuwa uko kwenye majira ya saa uliyosema hapo juu! [emoji23][emoji23]