Niliisoma hii story hivi karibuni. Ni hina hii lakini kuna madawa wanaongeza eti weusi uongezeke lakini ikamuathiri huyu mtoto ambaye alikuwa vacation Mexico na wazazi wake. Na jamaa waliompaka hiyo hina karibu na hotel waliyofikia hawajapatikana wameingia mitini.
Hatariii
Binadamu