Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Real Madrid inapanga kuwasajili Eden Hazard, 27 na kipa Thibault Courtois, 25, kutoka Chelsea ifikapo mwisho wa msimu. Lakini watasubiri kuona hatma ya Harry Kane wa Tottenham. (Sky Sports)
 
Liverpool watajaribu kumleta kiungo wa kati wa RB Leipzig na Guinea Naby Keita Anfield na wana nia ya kulipa zaidi kumpata mchezaji huyo wa miaka 22 mwezi Januari. (Telegraph)
 
Real Madrid walitaka kumdaka eti kwa £177 millions lakini naona it is too late moyo na akili yake kishawekeza kwa BARCA.

 
Liverpool wanamtaka mshambuliaji wa Monaco na Ufaransa Thomas Lemar, 22, kuchukua mahala pake Philippe Coutinho - na wanataka kufanya hilo wiki hii. (Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…