Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakoaji wanaojaribu kufika eneo hilo wanazuiwa na moshi mkubwa.
Wahuhudumu 30 raia wa Irana na 2 wa Bangladesh bado hawajulikani waliko licha ya jitihada za kimataifa kuwaokoa.
 
Kiwangi cha uchafuzi wa mazingira bado hakijulikani. Chombo hicho bado kilikuwa kinateketea leo Jumatatu.
 
Licha ya kuwa na usajili wa Panama meli hiyo inamilikiwa na kampuni ya Iran.
Sanchi ilikuwa imebeba tani 136,000 za mafuta ya Iran wakati iligongana na meli ya mizigo ya China Jumamosi usiku.
Wahudumu 21 wa meli ya mizigo cha China waliokolewa.
 
Apple wamesema kwamba simu zote za iPhone, iPad na kompyuta za Mac zimeathiriwa na kasoro kubwa ambayo imegunduliwa katika kifaa muhimu ndani ya mitambo hiyo.
Ilibainika wiki iliyopita kwamba kampuni za teknolojia zimekuwa zikifanya juu chini kutatua kasoro ambazo zimepewa jina Meltdown na Spectre, ambazo zinaweza kuwapa wadukuzi fursa ya kuiba siri na habari muhimu kutoka kwa simu na kompyuta.
 
Bahili sana huyu babu na ubahili wake unaiathiri sana timu. Anataka sifa kwa owners kwamba ana timu yenye bajeti ndogo lakini matokeo yake haifanyi vizuri uwanjani.

Wenger sio sera zake kununua wachezaji wa kuvunja rekodi labda kuuza tu. Napo sij kirahisi rahisi
 
Kasoro hizo zinapatikana katika kisilikoni ambacho ndicho huendesha shughuli ndani ya kompyuta au simu wakati inapofanya kazi.
Mabilioni ya kompyuta, simu na tabiti kote duniani zimeathirika.
Apple nao pia wamethibitisha kwamba simu zao na kompyuta pia zimeathirika.
 
Kampuni hiyo imetoa vipande kadha vya programu vya kusaidia kuziba kasoro za Meltdown.
Apple wamesema hakuna ushahidi wowote kufikia sasa kwamba kasoro hizo zimetumiwa na wadukuzi.
 
Hata hivyo, wamewashauri wateja kwamba wanafaa kupakua vipande hivyo vya programu kutoka kwa mitandao ya kuaminika kuepuka kupakua programu ambazo zinaweza kuwa na kirusi.
 
Watu wanaotumia kompyuta za Mac wamekuwa kwa muda mrefu wakiamini kwamba mitambo yao ni salama zaidi kuliko wanaotumia mitambo mingine, mfano simu za Android au kompyuta zinazotumia programu endeshi za Microsoft.
 
Kasoro za Meltdown na Spectre flaws zinapatikana katika vipande vingi vya silikoni ambavyo hupatikana ndani ya kitovu cha kompyuta za kisasa ambazo ndizo huendesha shughuli muhimu za kompyuta.
 
Sana aisee sioni sababu ya yeye kurudi msimu ujao. Imefikia mahali hata baadhi ya wacheza wazuri duniani wanamuona ni pingamizi kusajili na Arsenal na walio ndani wengine wanamkimbia.

Siku akistaafuu arsenal mpya itazaliwa na wachezaj morale itaongezeka
 
Kwa ufupi, ndiyo kompyuta yenyewe. Kwa Kiingereza hufahamika kama 'microchip'.
Visilikoni ambavyo vina matatizo ni vile vilivyoundwa na kampuni za Intel na ARM, ambazo kwa pamoja ndizo huuza zaidi visilikoni vinavyotumiwa kwenye kompyuta duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…