Sipingi bidhaa kutoka nje lakini sipendi watu wakinunua simu ambazo bila shaka hawawezi kumudu kifedha. Baadhi ya watu hukopa pesa benki au kutoka kwa jamaa na marafiki, na wengine hata huuza viungo vyao kununua iPhone. Sitaki wafanyakazi wangu wafanye mambo kama hayo," amesema.