Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maafisa wanasema moto huo ulisababisha uharibifu wa takriban $11,000 (£8,000) na baadhi ya vyumba vya jumba hilo vitahitaji kukarabatiwa kabla ya watu kuishi huko tena.

Hivi Numbisa hizi taarifa unazopostigi humu unaweza kuzikumbuka kichwani?

Maana huwa nasoma sana news zako nakuwa so interested ila baadae mtu akiniuliza hata sikumbuki chochote.
 
Nyingi nazikumbuka ndo maana huwa sizirudii kupost humu

Kila jukwaa na post habar zake na nazikumbuka hasa vituko vya fb huwa sirudii picha
Hivi Numbisa hizi taarifa unazopostigi humu unaweza kuzikumbuka kichwani?

Maana huwa nasoma sana news zako nakuwa so interested ila baadae mtu akiniuliza hata sikumbuki chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…