DAR: Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustine Mrema amefika kituo cha polisi cha OysterBay kuripoti tukio la kuzushiwa kifo kupitia mitandao ya kijamii. - Mrema amedai waliozusha taarifa hizo walitaka Wananchi wasisikilize mazungumzo aliyofanya Rais Magufuli na Edward Lowassa badala yake wajadili kifo chake