Snapchat na Instagram zilikuwa na alama za chini kabisa kwa jumla.
Shirley Cramer, afisa mkuu mtendaji wa RSPH, alisema: “Inashangaza kuona Instagram na Snapchat zikiorodheshwa kuwa na madhara zaidi kwa afya ya kiakili na hali nzuri ya vijana –
majukwaa haya mawili sana huangazia sura na sifa nzuri na mtu. Mitandao hii miwili inaonekana kuwafanya vijana wengi wajihisi kwamba hawatoshi au wana mapungufu fulani na hivyo kuwaongezea wasiwasi.”