Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mzee wa liver kaonekana amekenua hadi gego la mwisho akicheza dansi mbele ya luninga huku akiwa amejawa furaha tele. Hongera sana Mkuu. Hakuna aliyetegemea kipigo hiki kitakatifu kwa MANC leo nadhani sasa watalipa £35 millions kwa Arsenal haraka haraka ili kuimarisha safu ya ushambuliaji hata hivyo safu yao ya ulinzi ni Kama Arsenal MDEBWEDO TU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…