myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahahaa
Kwani yule andaeitini mwenzio ushampa talaka rejea?[emoji23] [emoji23]Hahaa, hakuna mtu anayeweza/atakayeweza kumficha kijana wa Nansio! Nipo sana tu mbona, tunapishana tu!
Kwani yule andaeitini mwenzio ushampa talaka rejea?[emoji23] [emoji23]
Inawezekana kweli tunapishana mana uzi umepunguza zile bashasha za mwanzo
Nafurahi kukuona tena
Kipenda roho kula nyama mbichi sheri ee sheriiiMy fav team lost, you know that; right? [emoji1][emoji1]
Asante,uwe na siku njema pia...Yule andaeitini nishampiga talaka tatu, hakuna rejea hapo! [emoji1][emoji1] Nafurahi kukuona pia, uwe na usiku mwema!