Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
ongeza like mkuuSasa hivi tuna zipata kwa sababu tunapeana we made a vow ya kupeana likes.
Jamaaa katembeza post balaa. Nimempa like mpaka button ikapotea.Amepiga hatari
Nina hakika 90% ya watanzania Leo wanakula viporoSalama salmin!
Tunaendelea na Eid Pili karibu kiporo cha pilau.
Mungu mkubwa. Inatakiwa hvyo.Bint kaokoka yule. Atakuea anasali
MimiNani yupo humu nimpe Malike?
Hahahaha hiyo hangover KibokoHangover si ya pombe lakini,
Pombe situmii mkuu labda ungesema hangover ya jinsia tofauti nami!
Hapo ningekuelewa.
Morning culture galmorning to u, mzee wa liver