Msema kweli siku zote hutoa maelezo zaidi ya mtu muongo maana mtu muongo anajitahidi sana kusema machache ili asingundulike, na vile vile mtu mwongo siku zote hufikiria sana cha kujibu na hata kama atakujibu kwa haraka basi sauti yake kwenye sentensi itapishana tangu anaanza kujibu swali mpaka mwisho, kwa kuaanza taratibu na kumaliza kwa kaharaka ikiwa anakua tayari anafahamu cha kuongea ambacho hakuwa nacho pale ulipomtwanga swali la ghafla.