Mara nyingi kwa sababu kama hizo abiria huwa wanafidiwa na mashirika ya ndege. Lakini kama ni sababu zako binafsi, Jumia Travel inakuasa kwamba uwe makini kwani utaishia kupoteza muda, kuvuruga mipango yako na kuingia gharama za ziada usizozitarajia.