Majukumu aiseh!si unajua njaa nuary hii vyuma vimezidi kukazaHuwezi kunizidi mimi
Member wamekosekana kutokana na ninyi kupotea
Hiyo veeepe veepe?Kwaani veeeppeeee
Flora Mbasha version 2?Akitoa taarifa hiyo kwa umma kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akibubujikwa na majozi, Kiria amesema huwa anamshauri mumewe atafute japo kazi itakayowaingizia kipato ili kusaidiana kutunza familia lakini mumewe anakuwa mkali na kumpiga.
“Sikutegemea kama ipo siku kwa mkono wako ungeunyanyua kunipiga (@kilewo2020mwanga) ukasahau kabisa! ukasahau yooote. Nimeharibu career yangu kupigania ndoto yako kwa kugawa watu wangu kwenye biashara zangu, nimepoteza ndugu jamaa na marafiki,
Veepee special for youHiyo veeepe veepe?
Jaman bidada alimuacha mumewe wa kwanza kwa mbwembwe nyiiingiiiFlora Mbasha version 2?
Kila mtu na aoe.....!!!