Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

...Hivi kama huyu ndo mkeo unafanyeje sasa?
 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo Januari 21, 2018 amepata pigo kwa kuondokewa na mama yake mzazi Ruth Basondole Gwajima ambaye amefariki asubuhi ya leo.

Gwajima amesema kuwa mama yake mzazi amefariki akiwa na umri wa miaka 84 na kuwa mazishi ya mama yake mpendwa yatafanyika siku ya Alhamisi ya Januari 25, 2018 Salasala jijini Dar es Salaama.
 
Leo Saa mbili asubuhi mama yangu Mzazi, Bi Ruth Basondole Gwajima ametwaliwa na Bwana. Karudi Mbinguni akiwa na Umri wa Miaka 84. Kuna Furaha ya Ajabu Shujaa Wangu Amerudi kwao. Kwasababu katika maisha yake alimtumikia Mungu. Mazishi yatafanyika Alhamis Tarehe 25/01/2018; Salasala Dar es Salaam" alisema Gwajima
 
Baada ya michezo yao ya jana kauli za makocha wa timu za Arsenal, Arsene Wenger na Manchester United, Jose Mourinho zilionesha kuwa usajili wa wachezaji Alexis Sanchez na Henrikhi Mkhitaryan uko mbioni kukamilika.

"Sanchez hakucheza kwa sababu huwezi kusafiri kwenda Kaskazini na kucheza mpira wa miguu wakati huo huo," alisema Wenger wakati akijibu swali alipoulizwa kwanini Sanchez hakucheza kwenye ushindi wa 4-1 iliopata Arsenal dhidi ya Crystal Palace.
 
Kocha wa Man United Jose Mourinho yeye alipoulizwa kuhusu usajili wa Sanchez, alijibu kwa kifupi ''upo karibu kukamilika''. Jibu hilo la Mourinho lilionesha wazi kuwa makubaliano kati ya pande hizo mbili yamekamilka ambapo Henrikh Mkhitaryan wa United atakwenda Arsenal.

Katika msimu mmoja na nusu ambao Mkhitryan ameichezea Man United amefanikiwa kufunga mabao matano na kusaidia mengine sita huku Sanchez akifunga mabao 60 na kusaidia mengine 25 katika misimu mitatu na nusu aliyoicheza Arsenal.
 
RIP. Kuondokewa na mama mzazi si mchezo. Mungu Ampe nguvu.
 
Mkuu mbona macho kodo?
Yanaona mbali sana
Ushawahi chunwa au nawe upo kwenye harakati za kuchunwa?
Makaburi ya pesa yananikosesha usingizi
Tupeane mauzoefu haijalishi hata kama wi havu ze semu skinner...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Ni kupambana na hali yako tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…