myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji106][emoji106][emoji106]MAJI MOTO NA ASALI KAMA DAWA
Kujiweka katika mazingira mazuri ya kuhakikisha unasafisha tumbo lako kila siku kabla ya kulala, weka utatartibu wa kunywa maji moto kiasi, yaliyochanganywa na asali.