OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
6.Malcolm X
Malcom alikuwa mtu mwenye ushawishi sana na mtu hatari kwa Illuminati.Aliongea sana, akishawishi kupinga muundo wa mamlaka kwa kuchukua hatua kali.
Malcolm X aliuliwa 21/02/1965
Malcolm X
Wuhuuuu !!!Liverpool kakung’utwa na kibonde, Swansea? [emoji1][emoji1]
Kwa nini?Huju jamaa namhusudu sana..