Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika maisha yake, siku zote na wakati wote, alitamani sana kuona ndoto zake zikitimia. Hakuna kitu ambacho kilimkera sana kama kuona siku zinakwenda bila kuona mafanikio, zaidi ya umaskini uliomgubika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…